Home Podcasts The Wealth Building Podcast
The Wealth Building Podcast

The Wealth Building Podcast

The Wealth Building Podcast 86 Episodes Sep 14, 2026

The Wealth Building Podcast ni kipindi kinachofundisha elimu ya fedha ambayo shule hazikuwafundisha. Kipindi hiki kinashughulikia mada muhimu kama kuweka akiba, uwekezaji na kujenga utajiri kwa hatua rahisi zinazoweza kufuatwa. Kinaeleza jinsi ya kuelewa na kudhibiti fedha zako ili kufikia uhuru wa kifedha. Mwenyeji anashiriki mawazo na vidokezo vya vitendo kwa Kiswahili. Unaweza kufuatilia kipindi hiki kupitia Instagram, Anchor, Apple Podcast, Google Podcast na YouTube.

Episodes

Fahamu Mambo Haya Mapema Ili Uweze Kufanikiwa Kifedha
Fahamu Mambo Haya Mapema Ili Uweze Kufanikiwa Kifedha Sep 14, 2026 00:10:39 Kufanikiwa kwako kifedha kunategemea kwa ukubwa na maarifa sahihi uliyokuwa nayo pamoja na maarifa ya kifedha ulioamua kuyaishi. Kupuuza maarifa muhimu kifedha kunaweza kukukosesha kufanikiwa kifedha, maarifa ya episode ya leo sio ya kupuuza kabisa.Usisahau kushare episode hii na marafiki, kwani sharing is caring.Coach Gee.
Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote | The Wealth Building Podcast
Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote | The Wealth Building Podcast Oct 25, 2025 00:08:00 Karibu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Nini Ufanye Wakati Gani Kwasababu Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote.Enjoy Episode Ya Leo, tafadhali Shiriki Kueneza Injili Hii Ya Fedha, Kwa Kushare Episode Hii Na Episode Nyingine Kwenye Podcast Hii Na Wengine.Coach Gee.
Mambo Muhimu Kufahamu Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri
Mambo Muhimu Kufahamu Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri Sep 22, 2025 00:12:02 Karibu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Mambo Muhimu Ya Kufahamu Na Kuishi Nayo Ukiwa Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri 💵💵Usisahau Kulike, Comment & Kushare Episode Na Ndugu Jamaa Na Marafiki.Coach Gee
ISHI HUMU ILI UWEZE KUTUNZA FEDHA YAKO
ISHI HUMU ILI UWEZE KUTUNZA FEDHA YAKO Aug 15, 2025 00:09:45 Mafanikio makubwa kifedha yanachangiwa kwa ukubwa na tabia zako kifedha. Tabia za kila siku ndizo zitaamua ufanikiwe kifedha au ufeli kifedha.Leo tunaangalia tabia zitakazokusaidia kuitunza fedha yako, Kwasababu kuitunza fedha yako ni muhimu kwa faida ya leo na kesho.Karibu Ujifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule,Coach Gee,
CODE Za Kukufanikisha Kifedha
CODE Za Kukufanikisha Kifedha Jul 23, 2025 00:12:22 Ishi humu utajishukuru sana baadae.
Hatua Muhimu Kwenye Safari Ya KUJENGA UTAJIRI
Hatua Muhimu Kwenye Safari Ya KUJENGA UTAJIRI Jul 14, 2025 00:13:20 Kila safari ina hatua na hii ndio hatua ya kwanza muhimu kwenye safari yako ya kujenga utajiri wa kudumu.
Tunapoongelea Uhuru Wa Kifedha Tunamaanisha Nini.
Tunapoongelea Uhuru Wa Kifedha Tunamaanisha Nini. Nov 25, 2024 00:12:56 Wote tupo kwenye mission ya kupata uhuru wa kifedha, lakini ni ipi maana halisi ya uhuru wa kifedha? Tuangalie maana moja wapo ya uhuru wa kifedha leo. Love & Respect, Grace-Wealth Building Coach
TABIA 3 MUHIMU KUWA NAZO KWENYE SAFARI YA KUJENGA UTAJIRI
TABIA 3 MUHIMU KUWA NAZO KWENYE SAFARI YA KUJENGA UTAJIRI Oct 25, 2024 00:08:58 Kitakachokutofautisha wewe na wengine katika safari hii ya kujenga utajiri ni TABIA. Na hizi ndio tabia muhimu kuhakikisha unaishi nazo. Kumbuka kwamba kujenga utajiri kwa ajili yako na vizazi vyako inawezekana, AMUA AMUA! Love & Respect, Grace
FANYA HAYA KIPINDI HIKI ILI KUTIMIZA MALENGO YAKO KIFEDHA
FANYA HAYA KIPINDI HIKI ILI KUTIMIZA MALENGO YAKO KIFEDHA Mar 25, 2024 00:09:32 Hello Hello WEALTH BUILDERS, Another Week, Another Chance For A Must Have Money Conversation. Please Share This Episode With Friends & Family. Let The Money Gospel Spread, For Everyone Needs It. Love & Respect, Grace.
Fahamu ''KWANINI'' Yako Ili Ufanikiwe Kifedha
Fahamu ''KWANINI'' Yako Ili Ufanikiwe Kifedha Jan 30, 2024 00:08:25 Usiwe umeingia tu kwenye safari hii ya kujenga utajiri bila kuwa na ''KWANINI'' ni muhimu na lazima kujua sababu. Sikiliza episode hii kuelewa zaidi. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach
Epuka Kufanya Hili Kifedha 2024 (SO5E01)
Epuka Kufanya Hili Kifedha 2024 (SO5E01) Jan 22, 2024 00:07:03 Happy New Year Wealthy People! Karibuni Kwenye Episode Hii Ambayo Tunaangalia Moja Ya Tabia Ya Kutokuendekeza Kifedha 2024. Ni matumaini Yangu Hautakuwa Tu Msikilizaji Bali PiAa Utakua Mtekelezaji. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach
Fanya Haya Kama Una Kipato Kidogo Ili Uwe Na Mstakabali Mzuri Kifedha
Fanya Haya Kama Una Kipato Kidogo Ili Uwe Na Mstakabali Mzuri Kifedha Sep 19, 2023 00:08:39 Karibu Kwenye Episode Nyingine Ya The Wealth Building Podcast, Elimu Hii Waliyosahau Kukufundisha Shule, Share Na Wengine Tujifunze Pamoja.XOXO,The Wealth Building Coach

Recommended