Home Podcasts Swahili Dishes Podcast
Swahili Dishes Podcast

Swahili Dishes Podcast

Swahili Dishes Podcast 84 Episodes Jul 21, 2025

Podcast hii inaongozwa na Faiza na Mkamburi, ikilenga kuvunja dhana potofu kuhusu jamii ya pwani ya Kenya na utamaduni wao kupitia mazungumzo ya kuburudisha. Inazungumza kwa Kiswahili pekee.

Episodes

Mkiolewa Msijiachilie Jul 21, 2025 00:35:28 Kujiachilia inamaanisha nini haswa? Jumuika nasi tufafanue njia tofauti zinzazoashiria kuwa umejiachilia kwenye mahusiano.
Madhara ya Kuchanganya Mahaba na Biashara Jul 14, 2025 00:26:48 Leo tunakuonya kuhusu madhara ya kufanya biashara na mpenzi wako. Je kuna mipaka unayoeza kueka kuhakikisha hutaadhirika mnapokosana?
Work Wife na Work Husbands, Mahusiano Kazini yana Faida Gani? Jun 30, 2025 00:21:59 Ukumbi kwenye kipindi hiki tunawapa kina work wife na work husband.
Je Content Creation Inalipa? Jun 20, 2025 00:37:01 Kama una mwanaharakati unayempenda ama wataka kuanza kufanya content kuna vitu muhimu lazima ujue.
Masaibu Kazini! Toxic Work Environment Jun 10, 2025 00:34:32 Umewahi kufanya kazi mahali ukaanza kukonda kwa stress?
“Ka Meza Fee” Ni Nini?Na Umuhimu Wa Mwanaume Kumpa Mke Wake Hio Ka Meza Fee Ni Gani? Feb 10, 2025 00:18:02 Kuna mila kwenye familia za uswahilini ambazo zimewezesha wanawake kushughulikia familia zao bila stress.
Mwanaume Akiwa na Hela Kuwa Ready Kumkaribisha Mke Mwenza Feb 3, 2025 00:26:00 Mwanaume Mwenye Pesa Anaweza Kua Mwaminifu Kwa Mwanamke Mmoja?
Athari Za Kulea Mwanaume! Jan 13, 2025 00:19:45 Tumeskia mara nyingi sana kuwa wanaume huwa hawafai kuhurumiwa. Je madhara huwa gani?
When A Poor Man Marries Rich! Ni Makosa Ama Itamfaidi? Jan 6, 2025 00:20:10 Episode hii inaendeleza kipindi cha wiki iliyopita. Je, kama ni mkaka maskini, mambo yatamuendeaje?
“Marrying Rich” Mdada Maskini Kuolewa Na Mkaka Tajiri/Pros&Cons Dec 30, 2024 00:20:58 Kuna changamoto au faida yoyote kwenye mahusiano kama haya?
“A Cheating Provider!” Utaondoka Ama Utabaki? Dec 23, 2024 00:22:30 Kwenye episode Hii tunachambua mahusiano kati ya davido na mke wake chioma.
“My Man Forced Me To Unfollow Rafiki Zangu Wa Kiume From My Social Media Pages!” Dec 16, 2024 00:19:12 Je,umeweka mipaka gani kwenye mahusiano yako?

Recommended