Magwaya FM ni redio ya mtandaoni ya Kenya inayoendeshwa na mcheshi maarufu Magwaya Ndani, inayotangaza muziki, habari na vichekesho kwa lugha za Kiswahili na Kimijikenda. Kipindi chake maarufu ni #MagwayaLive, na wasikilizaji wanaweza kupiga simu kwa maombi ya muziki kwa namba 0704217462.