
Kituo cha redio cha Bungoma kinachomilikiwa na Western Television Company Ltd (TV Magharibi). Kinasikika kwa 92.0 FM katika kaunti za Bungoma, Busia, Kakamega, Trans Nzoia, Vihiga, Nandi na Siaya, kikitoa habari, mazungumzo na burudani kwa Kiswahili na Kiingereza.